IQNA – Qari maarufu wa Iraq na mtangazaji wa televisheni Sayyid Hassanayn al-Hulw ameisifu mashindano mapya ya Qur’an ya Iran yaliyopewa jina la “Zayin al-Aswat”, akiyataja kuwa jukwaa la mabadiliko linalofichua vipaji vya kipekee vya vijana na kuimarisha misingi ya elimu ya Qur’an.
Habari ID: 3481340 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/08
TEHRAN (IQNA) – Visomo vya Aya za Surah Al-Balad vya maqarii wawili wa Iraqi na wengine wawili kutoka Iran na Misri vimeunganishwa hivi karibuni kwenye klipu.
Habari ID: 3477056 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28